Waziri Chirchir asema watalazimika kupima umeme kuzuia visa vya kupotea kwa umeme mara kwa mara

  • | Citizen TV
    1,076 views

    Kampuni ya umeme ya Kenya Power huenda ikalazimika kupima umeme katika baadhi ya maeneo nchini, ili kuzuia visa vya kupotea kwa umeme mara kwa mara. Waziri wa kawi Davis Dhirchir amesema kuwa maeneo ambayo huenda yakaathirika ni yale yanayoshuhudia uzito wa nguvu za umeme kama mojawapo ya njia za kuzuia visa vya kupotea kwa umeme nchini.