Waziri Duale achukua rasmi ofisi ya mazingira

  • | Citizen TV
    405 views

    Waziri wa mazingira Aden Duale amechukua rasmi ofisi kutokana kwa mtangulizi wake Soipan Tuya. Tuya naye ameelezea Wizara ya Ulinzi alikokuwa Duale.