Skip to main content
Skip to main content

Waziri Duale afichua uporaji wa bilioni 11 na kufikishwa hatua za kisheria

  • | Citizen TV
    997 views
    Duration: 2:52
    Waziri wa afya Aden Duale sasa anasema hatua za kisheria zimechukuliwa dhidi ya zaidi ya maafisa 70 wa afya wanaotuhumiwa kuhusika na uporaji wa shilingi bilioni 11 kutoka kwa mfuko wa mamlaka ya afya ya jamii ya sha, kwa muda wa miezi sita tu. Akizungumza alipohutubia kongamano la wabunge eneo la naivasha, duale alisema upasuaji hewa umekuwa mojawapo ya mbinu mpya zinazotumika na hospitali kuwaibia wagonjwa