7 Dec 2025 7:48 pm | Citizen TV 1,185 views Duration: 48s Waziri wa Afya Aden Duale amepuuza madai ya kuwa maelezo ya kibinafsi ya matibabu ya wakenya yanatumwa kwa serikali ya Marekani, chini ya mkataba mpya wa afya uliotiwa saini wiki jana.