Waziri Duale atangaza kuondolewa kwa ada ambazo hulipwa na wanafunzi wa KMTC

  • | KBC Video
    13 views

    Waziri wa afya Aden Duale ametangaza kuondolewa kwa ada ambazo hulipwa na wanafunzi wa taasisi ya mafunzo ya utabibu ya Kenya, ili kupata mafunzo ya ujuzi wa utabibu katika hospitali za umma za Level 6. Duale alisema ada hizo hazifai, kwani hospitali husika pia hunufaika na huduma zinazotolewa na wanafunzi hao wakati wa mafunzo yao hospitalini. Aidha waziri huyo alisema alishauriana na baraza la magavana ili kutekeleza mabadiliko hayo katika hospitali za ngazi nyingine katika kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive