Waziri Kagwe ataka kaunti zilinde ardhi ya A.S.K dhidi ya wavamizi

  • | NTV Video
    56 views

    Waziri wa kilimo, Mutahi Kagwe, amezitaka serikali za kaunti kote nchini, kulinda ardhi ya shirika la chama cha ushirika cha kilimo (A.S.K) dhidi ya wavamizi na wanyakuzi wa ardhi kwa kuwa ni mali ya umma.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya