Waziri Kindiki akashifu maandamano ya viongozi waliokuwa wakikashifu mashambulizi Baringo

  • | K24 Video
    243 views

    Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amekashifu maandamano ya jana ya viongozi waliokuwa wakikashifu mashambulizi katika kaunti ya Baringo. Akizungumza leo alipozuru kaunti ya Samburu, Kindiki amewataka viongozi hao kutenga siasa na masuala ya usalama akisema wizara yake inakabiliana vilivyo na suala hilo. Haya yanajiri huku mamia ya wakazi eneo la Baringo kaskazini wakihamia maeneo salama kufuatia hofu ya mashambulizi