Waziri Kindiki akutana na watengenezaji vileo kufanikisha vita dhidi ya pombe haramu

  • | Citizen TV
    124 views

    Waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki amesisitiza kuwa kamwe hawatalegeza kamba katika vita dhidi ya pombe haramu, dawa za kulveya na mihadarati licha ya tetesi kutoka kwa baadhi ya wafanyabiashara katika sekta hiyo. Akizungumza alipokutana na watengenezaji pombe katika kambi ya gsu eneo la embakasi, kindiki amewataka wafuate maagizo yaliyotolewa na serikali kabla ya kupewa leseni upya na kuwahimiza kushirikiana na serikali kusafisha sekta hiyo. Kwa upande wao washikadau katika biashara hiyo wameomba serikali kuendesha oparesheni bila ubaguzi