Waziri Kindiki atoa agizo la kuwalinda wanafunzi dhidi ya mihadarati

  • | Citizen TV
    414 views

    Waziri wa Usalama Prof. Kithure Kindiki ameelekeza maafisa wote wa utawala nchini kuwakamata wafanyibiashara na wananchi wanaowahadaa wanafunzi kujiingiza katika matumizi ya mihadarati