Waziri Kipchumba Murkomen asisistiza kuwa uharibifu wa mali wakati wa maandamano ni ugaidi

  • | NTV Video
    247 views

    Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen ameshambulia chama cha mawakili nchini LSK, wanaharakati na wanasiasa wa upinzani kwa kusimama na washukiwa wanaokabiliwa na mashtaka ya ugaidi kutokana na uharibifu wa mali wakati wa maandamano

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya