Waziri Kithure Kindiki aongoza kikao cha kamati kuu ya serikali mjini Nairobi

  • | Citizen TV
    880 views

    Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki ameongoza kikao cha kamati kuu ya serikali inayoshughulikia udhibiti wa uhalifu wa kifedha na ufadhili wa ugaidi.