Waziri Kuria awataka madaktari kurejea kazini

  • | Citizen TV
    175 views

    Waziri wa utumishi wa umma Moses Kuria amewataka makadtari kurejea kazini akisema kuwa serikali haitakubali tena mikataba ya kibinafsi ya wafanyikazi. kuria amesema kuwa wizara yake itahakikisha mikataba ya wafanyikazi wa umma imelainishwa ili kuwe na usawa na kuzuia migomo ya kila mara. Haya ni huku waziri wa leba Florence Bore akiwataka wahudumu wa afya kfuata maagizo ya mahakama na kurejea kazini huku mazungumzo yakiendelea.