Waziri Machogu asema hakuna shule itafungwa kabla ya muhula kukamilika

  • | Citizen TV
    404 views

    Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amewahakikishia wazazi na washikadau katika sekta ya Elimu kuwa hakuna shule itafungwa kabla ya muhula kukamilika.