Waziri Machogu asema wanafunzi wa KCPE watapokea alama zao kabla ya mwisho wa juma lijalo

  • | K24 Video
    43 views

    Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amesema kuwa wanafunzi wa KCPE watapokea alama zao kabla ya mwisho wa juma lijalo na kuwa wataarifiwa shule watakazojiunga nazo kabla ya sikukuu ya krismasi. Vile vile wizara ya elimu imetoa hakikisho kuwa mitihani ya kitaifa haijakumbwa na udanganyifu huku waliojaribu kujihusisha na wizi wa mitihani wakisubiria kuchukuliwa hatua. Aidha wizara ya elimu pia imewasilisha pole kwa walimu na wadau wa elimu waliopoteza maisha wakati wa kuwasilisha mitiha