Waziri Mithika Linturi asema serikali imeweka mikakati ya kiteknolojia kuimarisha sekta ya kilimo

  • | Citizen TV
    275 views

    Serikali imeweka mikakati ya kiteknolojia ili kuimarisha sekta ya kilimo nchini. Kwa mujibu wa waziri wa kilimo Mithika Linturi, mpango wa kubadili na kukuza kilimo nchini ili kuwa na chakula cha kutosha kufikia mwaka wa 2029 umeshika kasi.