Waziri Murkomen asema huenda miili iliyosalia ikazikwa

  • | Citizen TV
    363 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen, amesema kuwa serikali itatoa uamuzi kuhusu iwapo miili ya wahanga wa imani potovu iliyokufukuliwa katika eneo la Shakahola, kutokana na kukwama kwa uchunguzi wa DNA