Waziri Murkomen asema kuna watu wanaotilafiana na jenereta kunapopotea umeme JKIA

  • | Citizen TV
    1,659 views

    Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen sasa anadai hujuma katika matukio ya kuwaka wa jenereta kunapopotea umeme katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKIA. Waziri Murkomen sasa akimwandikia barua inspekta jenerali wa polisi Japhet Koome akitaka polisi kufanya uchunguzi kubaini iwapo kulikuwa na njama ya kuhitilafiana na jenereta hiyo.