Waziri Owalo azindua vituo vitano vya mtandao wa Wi-Fi katika soko la Ol Jabet, Laikipia Magharibi

  • | Citizen TV
    178 views

    Serikali imezindua vituo vitano vya mtandao wa wifi katika soko la Ol Jabet eneo bunge la Laikipia Magharibi kaunti ya Laikipia.