Waziri wa Utalii na Wanyamapori, Rebecca Miano, amesisitiza umuhimu wa sekta ya utalii kama kicheheo cha maendeleo ya kiuchumi. Miano alithibitisha kuwa sekta ya utalii ya humu nchini inakua kulingana na ongezeko la watalii wa kimataifa na wa humu nchini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive