Waziri Ruku azuru soko kufuatia kisa cha moto kuzuka

  • | Citizen TV
    707 views

    Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku amewahakikishia waathiriwa wa mkasa wa moto katika soko kuu la Garissa kuwa serikali itachunguza chanzo cha mkasa huo na kuwasaidia waliopoteza mali yao kurudi kwa hali ya kawaida.