Waziri Ruku: Serikali iko tayari kusaidia waathiriwa wa moto Kibra

  • | NTV Video
    68 views

    Waziri wa utumishi wa umma, Geoffrey Ruku, amewahakikishia wakazi wa mukungu katika mtaa wa Kibra na wa soko la Kimana, Kajiado Kusini, kuwa serikali iko tayari kuwasaidia kufuatia moto mkubwa uliowaacha mamia ya watu bila makazi katika maeneo yote mawili.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya