Waziri wa afya anasema anapania kufunga vituo 1000

  • | Citizen TV
    372 views

    Wizara ya afya inapania kufunga vituo vya afya elfu moja zaidi, ambavyo havijazingatia kanuni muhimu za utoaji huduma za afya ikiwemo idadi ya vitanda kwa wagonjwa.