Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa afya azindua hatua dhidi ya madaktari wasiohalali

  • | Citizen TV
    376 views
    Duration: 2:18
    Waziri wa afya Aden Duale sasa ameonya watu wanaoendesha kliniki bandia ambazo hazijasajiliwa na bodi ya madaktari nchini, akiagiza kubuniwa kwa kitengo maalum cha kupambana na madaktari bandia. Waziri duale akirejelea kifo cha majuzi cha Amos Isoka aliyefariki baada ya kufanyiwa matibabu ya meno na daktari bandia.