Waziri wa hazina John Mbadi apokezwa majukumu yake

  • | Citizen TV
    452 views

    Katika Wizara ya hazina kuu ya kitaifa, Profesa Njuguna Ndung'u ameondoka rasmi ofisini, akimkabidhi John Mbadi majukumu kama waziri mpya. Kwenye hafla fupi ya kutwaa mamlaka kutoka kwa mtangulizi wake, Waziri Mbadi ameahidi kuendeleza mikakati ya kuimarisha uchumi