- 252 viewsDuration: 1:15Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe amezitaka kaunti kushirikiana na serikali kuu katika kubadilisha sekta ya mifugo nchini kuwa nguzo ya ukuaji wa uchumi. Akizungumza wakati wa mkutano wa mashauriano na Magavana kutoka maeneo kame Waziri Kagwe alitoa mapendekezo ambayo ni pamoja na kuzingatia malisho ya asili na chanjo kwa mifugo kwa matokeo bora.