Waziri wa mazingira Duale asema hataruhusu kupanuliwa kwa barabara ya Kiambu

  • | NTV Video
    99 views

    Waziri wa mazingira Aden Duale amesema hataruhusu kupanuliwa kwa barabara ya kiambu iwapo uamuzi huo wa awali hautahusisha ushiriki wa umma. kupanuliwa kwa barabara ya kiambu kunakisiswa kutoa ekari 51 ya msitu wa karura jambo ambalo limezua tumbojoto na wanamazingira. kulingana na duale uamuzi wa kupanuliwa kwa barabara ya kiambu ulitolewa mwaka wa 2018

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya