Waziri wa ulinzi Aden Duale azuru shamba lenye mzozo baina ya majeshi na wananchi Uasin Gishu

  • | Citizen TV
    2,526 views

    Waziri wa Ulinzi Aden Duale hii leo anatembelea shamba lenye mzozo baina ya majeshi na wananchi eneo la maili Tisa kaunti ya Uasin Gishu. Mzozo huo ambao umekuwapo kwa muda mrefu huenda ukakwisha iwapo suluhu ya kudumu itapatikana.