Waziri wa usalama akemea LSK kwa kutetea

  • | Citizen TV
    739 views

    Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amekosoa mwenyekiti wa Chama cha Mawakili Nchini LSK, Faith Odhiambo, Kwa kupinga sheria kuhusu Ugaidi na ambayo inatumika kuwafungulia mashtaka washukiwa wanaodaiwa kutekeleza uhalifu wakati wa maandamano ya Saba Saba na Tarehe 25 Juni mwaka huu