Waziri wa usalama Kithure Kindiki azuru ofisi ya jinai kuzungumzia swala la vyeti vya maadili mema

  • | KBC Video
    20 views

    Waziri wa usalama wa taifa Kithure Kindiki leo asubuhi alikutana na mkurugenzi wa upelelezi wa maswala ya jinai katika makao makuu ya idara hiyo katika barabara ya Kiambu ili kukagua mchakato na mfumo ambao umekuwa ukichelewesha kutolewa kwa vyeti vya maadili mema katika miezi michache ijayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive