Waziri wa usalama Prof. Kindiki aahidi kukabiliana na wahalifu mijini

  • | Citizen TV
    542 views

    Waziri wa uslaama wa ndani profesa Kithure Kindiki ameahidi kukabiliana na wahalifu wanaowahanganisah wakenya hasa mijini. Kindiki alikuwa akizungumza kwenye mkutano na maafisa wa usalama mtaani embakasi hapa jijini nairobi