Waziri wa uslama Kithure Kindiki awaonya wahalifu wanaozua machafuko eneo la Sondu

  • | Citizen TV
    568 views

    Uhalifu mpakani Sondu Waziri wa usalama awaonya wahalifu wanaozua machafuko Ghasia zilizuka Sondu katika mpaka wa Kisumu na Kericho Kindiki asema wahalifu wanachochea ghasia eneo hilo la mpakani