- 417 viewsDuration: 3:01Waziri wa utalii Rebecca Miano, amezindua rasmi makala ya 32 ya mashindano ya kimataifa ya Ngamia katika Uga wa Yare mjini Maralal katika kaunti ya Samburu. Miano amedokeza kuwa mashindano hayo yanachangia Kwa ukuaji wa utalii nchini.