17 Feb 2026 1:26 pm | Citizen TV 928 views Duration: 2:45 Waziri wa vyama vya ushirika Wycliffe Oparanya amesema kuwa zaidi ya shilingi milioni 360 zilizofunjwa katika muungano wa vyama vya ushirika nchini KUSCCO zimerejeshwa.