Waziri Wahome ahusisha tatizo hilo na makundi ya walaghai katika wizara ya ardhi

  • | KBC Video
    17 views

    Wizara ya ardhi imetangaza mipango ya kufutilia mbali hati zote miliki za ardhi zilizotolewa kwa njia haramu. Akiongea katika hoteli moja huko Naivasha wakati wa warsha ya siku mbili kwa maafisa wa ngazi za juu katika wizara ya ardhi, waziri wa ardhi Alice Wahome alihusisha tatizo lililoko kwa sasa katika wizara hiyo na makundi ya walaghai yanayotapeli wakenya kupitia njia za haramu za ununuzi na uuzaji ardhi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News