- 7,592 viewsDuration: 6:47Wamiliki wa matatu kaunti ya Mombasa wanalalamikia barabara mbovu katika MAENEO ya Bombululu hadi eneo la lights wakisema imechangia kwa magari kuharibika kila mara. Hali hii pia imechangia kuwepo kwa msongamano wa magari hasa asubuhi na jioni