Wenyeji wa Madogo wanaitaka KFS kubatilisha ilani

  • | Citizen TV
    99 views

    Wenyeji na viongozi wa eneo la Madogo kaunti ya Tana River wanashinikiza idara ya huduma za misitu nchini kufutilia mbali ilani katika gazeti rasmi la serikali inayoainisha eneo hilo kama sehemu ya misitu ya serikali