Wezi sugu wa magari wakamatwa Kiambu

  • | NTV Video
    6,167 views

    Maafisa wa polisi kutoka kabete walifanikiwa kuwanasa washukiwa wawili sugu wa wizi wa magari Katika maeneo Bunge matatu ambayo ni limuru ,kikuyu na kabete ambao ni mwenye gereji na mfanyakazi mmoja wanaosemekana kuwahangaisha wakaazi wa maeneo hayo matatu

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya