Wezi waiba mali ya takriban shilingi 3M

  • | Citizen TV
    4,780 views

    Maafisa wa polisi Kisii wanamzuilia bawabu mmoja kufuatia wizi katika duka moja eneo la Tabaka, Mugirango kusini . Inaarifiwa kuwa wezi hao walionaswa kwenye kamera za cctv waliiba mali ya thamani ya shilingi milioni tatu.