WHO: Hali ya kuenea kwa kipindupindu imezidi ulimwenguni na hasa Barani Afrika

  • | VOA Swahili
    126 views
    Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema hali ya kuenea kwa kipindupindu duniani hasa barani Afrika imezidi kuwa mbaya tangu mwezi Februari. Tanzania, Zambia, Zimbabwe na Afrika Kusini ni kati ya nchi 24 zilizoripoti mlipuko wa kipindupindu. Ungana na mwandishi wetu kwa ripoti kamili kuhusu janga hilo.. #shirikalaafyaduniani #who #kipindupindu #duniani #baraniafrika #tanzania #zambia #zimbabwe #afrikakusini #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.