Wiki hii tunaangazia faida za kilimo mseto katika sehemu dogo

  • | Citizen TV
    774 views

    Ugavi wa ardhi katika sehemu ndogo ili kuendeleza biashara ni mojawapo ya sababu zilizotajwa kama ambazo zinapunguza ardhi ya kilimo nchini. hali hii imewafanya wakulima wadogo kubuni njia za kuwawezesha kupanda chakula ili kukidhi mahitaji yao. Mkulima mmoja katika kaunti ya Nakuru anajishughulisha na kilimo mseto kwenye shamba la ekari moja unusu