Wiki ya vijana yaanza Kilifi

  • | Citizen TV
    92 views

    Huku ulimwengu ukikaribisha kusherehekea siku ya kimataifa ya vijana tarehe 12 Agosti, idara ya vijana imezindua wiki ya kitaifa ya vijana nchini katika mji wa Kilifi