Skip to main content
Skip to main content

Wimwaro FM yaongoza kuboresha taswira ya Shule ya Njukiri, Embu

  • | Citizen TV
    121 views
    Duration: 1:27
    Kituo cha redio cha Wimwaro FM kinachomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services kimeongoza mchakato wa kubadilisha taswira ya shule ya msingi ya Njukiri iliyoko katika kaunti ya Embu.