Skip to main content
Skip to main content

Wingu la huzuni latanda Silibwet kwenye mazishi ya mpiga picha aliyefariki kwenye ajali ya ndege

  • | Citizen TV
    4,637 views
    Duration: 2:44
    Wingu la huzini lilitanda katika kijiji cha Silibwet wakati wa mazishi ya Nick Koskei, mpiga picha wake marehemu Johana Ngeno, ambaye aliyekuwa mmoja wa watu sita waliofariki kwenye ajali ya ndege wiki moja iliyopita. Familia, jamaa na marafiki walimtaja marehemu Koskei kama kijana aliyejitahidi sana kuimarisha maisha ya familia na jamii yake