Wito watolewa kwa wazazi kuwatunza watoto wanaozaliwa kabla muda katika kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    268 views

    Asilimia 6.2 ya watoto waliozaliwa katika kaunti ya Busia huzaliwa wakiwa bado hawajatimia muda wa kuzaliwa, huku wazazi wakihimizwa kutafuta ushauri kwa wakati ili kunusuru maisha ya watoto hao kwani baadhi yao huaga dunia