Wizara ya afya imedhibitisha upungufu wa chanjo muhimu kama BCG, Polio

  • | Citizen TV
    843 views

    Wizara ya afya imedhibitisha upungufu wa chanjo muhimu kama BCG ya kifua kikuu na chanjo ya polio kwa watoto humu nchini. Hata hivyo, katibu katika wizara hiyo daktari Ouma Oluga anasema kuwa serikali inafanya kila iwezalo kuhakikisha hakuna mtoto atakosa chanjo.