Wizara ya afya inaimarisha mfumo wake wa kidijitali wa ufuatiliaji wa magonjwa

  • | K24 Video
    27 views

    Kwa kutambua hitaji muhimu la kushughulikia milipuko ya maradhi mipakani, wizara ya afya inaimarisha mfumo wake wa kidijitali wa ufuatiliaji wa magonjwa. Mpango huu unalenga kutambua na kupambana na tishio za kiafya katika vyanzo kabla ya kudhuru wakenya, kwani ukusanyaji bora wa takwimu unachangia mno hatua bora za udhibiti kuchukuliwa mapema.