Wizara ya Afya yasitisha huduma za SHA kwenye vituo 45 vya Afya kwa madai ya ulaghai

  • | Citizen TV
    157 views

    Wizara ya afya imetangaza kusitisha huduma za bima ya afya ya SHA katika vituo 45 nchini kwa hatia ya kuhusika na ulaghai. Hatua hii ya punde sasa ikifikisha 85 vituo vilivyoondolewa kwenye ratba ya bima ya SHA. Kwenye orodha ya leo, kaunti ya Mandera inaongoza kwa idadi ya vituo vilivyohusishwa na ulaghai huku kaunti za Homa Bay, Kisii na Nairobi pia zikiwa kwenye orodha hii