- 40 viewsWizara ya elimu imejitetea kuhusu ufadhili wa wanafunzi wa vyuo vikuu. Wakizungumza kwenye kikao na kamati ya uhazibu bungeni, afisa mkuu wa hazina ya vyuo vikuu Edwin Wanyonyi na katibu wa elimu ya juu beatrice inyangala wamesema kuwa serikali iliafikia mfumo huo baada ya kutathmini maoni ya wanafunzi