Wizara ya elimu kaunti ya Siaya yaongoza mikakati ya usafi wa wanafunzi

  • | Citizen TV
    68 views

    Wizara ya elimu kaunti ya Siaya inawarai wahisani na washikadau kusaidia kuboresha changamoto ya usafi na maji katika eneo la Rarieda ambayo inawaathiri wanafunzi.