Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya elimu yalaumiwa kutokana na kucheleweshwa kutumwa kwa pesa kwa shule

  • | NTV Video
    137 views
    Duration: 1:11
    Serikali kupitia wizara ya elimu inaendelea kulaumiwa kutokana na kucheleweshwa kutumwa kwa pesa kwa shule. Mbunge wa Navakholo emmanuel Wangwe anasema anaendelea kupokea lalama kutoka kwa walimu wakuu kutokana na hali ngumu ambayo wanapitia. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya